Waziri Mkuu Mh.Majaliwa ameitaka          TAMISEMI kujieleza ni kwanini mradi wa mabasi yaendayo kasi DART          haujaanza hadi sasa.
        Ameagiza watendaji wote wa wizara          ya TAMISEMI, akiwemo Katibu Mkuu wa Wizara ya TAMISEMI kufika          Ofisini kwake kesho asubuhi kueleza kwa nini mabasi hajaanzana          kazi wakati miundombinu imeshakamilika.
        Ameyasema hayo leo alipotembelea          Wizara ya TAMISEMI na kuongea na watendaji wa wizara hiyo. 
        TAZAMA VIDEO:
        NAFASI ZA AJIRA>>WWW.AJIRAYAKO.COM
        
0 comments:
Post a Comment