Waandishi wa habari                  wa gazeti la Jambo Leo, wakifurahia kupata fagio                  walizokabidhiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Zahanati ya Mji                  Mwema Kigamboni, Dar es Salaam, Omary Kombe (kulia),                  katika hafla iliyofanyika katika chumba cha habari cha                  gazeti hilo, Dar es Salaam. 
          Kombe ametoa msaada                  huo kuunga mkono maelekezo ya Rais Dk. John Magufuli ya                  kufuta sherehe za Sikukuu ya Uhuru ili wananchi                  washiriki siku hiyo kufanya usafi wa mazingira kwa lengo                  la kutokomeza ugonjwa wa kipindupindu nchini. (PICHA NA                  RICHARD MWAIKENDA)
                              
0 comments:
Post a Comment