![]()  |             
| Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dkt Reginald Mengi akiteta jambo na Askofu Mteule wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheria (KKKT) Tanzania ,Dkt Fredrick Shoo . | 
![]()  |             
| Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dkt Reginald Mengi akizungumza jambo mara baada ya utamburisho wa mkurugenzi huyo. | 
![]()  |             
| Mkurugenzi Mtendaji wa Hopstali ya Rufaa ya KCMC ,Dkt Gileard Masenga akizungumza jambo mbele ya Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dkt Reginald Mengi (hayupo pichani). | 
![]()  |             
| Dkt Mengi akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Hosptali ya Rufaa ya KCMC. | 
![]()  |             
| Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dkt Reginald Mengi akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa matumizi ya ngazi kuu za kuingilia wodini katika hospitali hiyo. | 
![]()  |             
| Baadhi ya wananchi walioshuhudia tukio hilo. | 
![]()  |             
| Mwenyekiti mtendaji wa Makampuni ya IPP,Dkt Reginald Mengi akiongozana na Mkurugenzi mtendaji wa Hopstali ya Rufaa ya KCMC wakipita katika ngazi kuu zilizofanyiwa ukarabati hii karibuni. | 
![]()  |             
| Dkt Mengi akitizama baadhi ya maeneo katik awodi za hospitali ya rufaa ya KCMC ambayo miundo mbinu ya maji pamona na vyoo imekuwa chakavu. | 
![]()  |             
| Sehemu ya maeneo ambayo yameathirika na uchakau wa miundo mbinu ya maji. | 
![]()  |             
| Dkt Mengi akisalimiana na mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika hosptali ya Rufaa ya KCMC. | 
![]()  |             
| Mkurugenzi mtendaji wa Hosptali ya Rufaa ya KCMC,Dkt Giliard Masenga akimuonesha Dkt Mengi maeneo mbali ya hosptali hiyo ambayo upanuzi umeanza kufanyika kama sehemu ya kuboresha huduma ya afya. | 
![]()  |             
| Dkt Mengi akiaga mara baada ya                      kutembelea hospitali ya rufaa ya KCMC pamoja na                      kuzindua ngazi kuu za kuingilia wodini. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.  |             
























0 comments:
Post a Comment