Rais wa                  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali                  Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali wa Kiwanda                  cha Sukari cha  Mahonda  kiliopo katika Wilaya ya                  Kaskazini B. Unguja alipofanya ziara maalum ya                  kutembelea kiwanda hicho leo,ambacho kinachofanyiwa                ukarabati na Kampuni ya Shanta Sugar Holding Ltd kutoka                nchini India
                 Rais wa                  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali                  Mohamed Shein (wa pili kulia) akionesha kitu wakati                  alipotembelea kiwanda cha Sukari cha Mahonda Wilaya                ya Kaskazini B. Unguja leo ambacho kinachofanyiwa                ukarabati na Kampuni ya Shanta Sugar Holding Ltd kutoka                nchini India,akiwa katika ziara aliyofuatana na Viongozi                mbali mbali wa Serikali
                 Rais wa                  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali                  Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo wakati                  alipofuatana Meneja wa  Kiwanda                  cha Sukari cha  Mahonda Bw.Rajesh Kumar (wa                  pili kulia) kiliopo katika Wilaya ya Kaskazini B. Unguja                  alipofanya ziara maalum ya kutembelea kiwanda hicho                  leo,ambacho kinachofanyiwa ukarabati naKampuni ya                Shanta Sugar Holding Ltd kutoka nchini India,(kulia ni )                Waziri wa Fedha Omar Yussuf Mzee
         Rais wa                  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali                  Mohamed Shein (wa pili kulia) akiangalia hatua ya ujenzi                  na kupata maelezo katika  Kiwanda                  cha Sukari cha  Mahonda  kiliopo katika Wilaya ya                  Kaskazini B. Unguja alipofanya ziara maalum ya                  kutembelea kiwanda hicho leo,ambacho kinachofanyiwa                ukarabati na Kampuni ya Shanta Sugar Holding Ltd kutoka                nchini India
                Rais wa                  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali                  Mohamed Shein (wa pili kulia) akipata maelezo wakati                  alipofuatana Meneja wa  Kiwanda cha Sukari cha  Mahonda                  Bw.Rajesh Kumar (katikati) alipotembelea                  kiwanda hicho leo,ambacho kinachofanyiwa                ukarabati na Kampuni ya Shanta Sugar Holding Ltd kutoka                nchini India,kiliopo katika Wilaya ya Kaskazini B.                Unguja,(kulia) Meneja mradi Tushar Mehta.
        Picha na IKULU, Zanzibar
        




0 comments:
Post a Comment