Waziri Mkuu Mhe              Majaliwa Kassim Majaliwa akisisitiza jambo wakati wa mkutano              wake na uongozi wa TRA na TPA alipofanya ziara ya kustukiza              Bandarini leo asubuhi.
          
        Waziri Mkuu Mhe              Majaliwa Kassim Majaliwa leo ameamuru kukamatwa kwa maafisa              kadhaa wa Mamlaka ya Mapato (TRA) na wengine kufukuzwa kazi              baada ya kufanya ziara ya kushtukiza Bandarini na kukuta              madudu ambayo hakuyafurahia. 
        
0 comments:
Post a Comment