Kivuko              cha MV Magogoni leo asubuhi kimepata hitilafu na hivyo              kushindwa kufanya kazi ya kuvusha watu kutoka na kwenda              Kigamboni
                Hali              hii imesababisha baadhi ya watu kutumia mitumbwi ya wavuvi              kuvuka
         
0 comments:
Post a Comment