August 25, 2015

  • MAGARI SABA YAWAKA MOTO BAADA YA GARI LA PETROL KULIPUKA




    Kama unavyo ona magari yanazidi kuwaka moto eneo hili la njia panda yakwenda kigoma na burundi,nyakanazi"chanzo tanki iliyokuw imebeba petrori kulipuka moto nakuzimwagia gari zingne7 hakuna mtu aliopoteza maisha


    Na mwandishi wetu -Kigoma

  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.