
-Atapigiwa kura leo ambapo Wabunge wote watapiga kura kuchagua Spika na Naibu wakeHabari za uhakika nilizonazo zinaarifu kwamba mpaka sasa jumla ya vyama 8 vimeshawasilisha majina ya wagombea wao wa nafasi ya kiti cha Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Wagombea hao ni ndugu Hashim Rungwe wa CHAUMMA, Ole Medeye wa CHADEMA, Peter Sarungi wa AFP, Kisokya wa NRA, Godfrey Malisa wa CCK, Richard Lyimo wa TLP na mgombea kutoka chama cha DP, Robert Alexander Kisinini..
0 comments:
Post a Comment