Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza Faisal                Issa (Katikati) kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza,                akifungua Mkutano wa Wadau wa Maji uliofanyika jana Jijini                Mwanza kati ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na                Maji nchini UWURA, Mamlaka ya Maji safi na MajiTaka Mkoani                Mwanza MWAUASA na Wadau/Watumiaji wa Maji Jijini Mwanza                kwa ajili ya kujadili ombi la MWAUASA kutaka kupandisha                bei ya maji kuanzia mwezi January mwakani.
        Na:George Binagi-GB Pazzo @BMG
        Mwauasa inatarajia kupandisha bei ya                maji kutoka wastani wa shilingi 669.00 kwa lita mita moja                ya ujazo wa maji ambayo ni sawa na lita 1,000 hadi wastani                wa shilingi 1,075.74 hiyo ikiwa ni kwa watumiaji wa                majumbani na taasisi huku ujazo kama huo kwa matumizi ya                kibiashara na Viwandani ikifikia wastani wa shilingi                1,62500
                Kulia ni Mhandisi Mutaekulwa                Mutegeki akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu EWURA
                Kushoto ni Osward Mutaitina ambae ni                Mjumbe wa Bodi EWURA 
                Mkurugenzi Mkuu wa MWAUASA Mhandisi                Antony Sanga akiwasilisha hoja za Mamlaka hiyo juu ya                kupandisha bei ya maji. Hoja hizo ni pamoja na kuondokana                na hasara ya gharama za uendeshaji za hivi sasa na hivyo                kuiwezesha kukusanya mapato ambayo yatasaidia kuboresha                utoaji wa huduma ya maji safi na salama kwa wananchi.
                Mkutano wa Wadau wa Maji uliofanyika                jana Jijini Mwanza kati ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma                za Nishati na Maji nchini UWURA, Mamlaka ya Maji safi na                MajiTaka Mkoani Mwanza MWAUASA na Wadau/Watumiaji wa Maji                Jijini Mwanza kwa ajili ya kujadili ombi la MWAUASA kutaka                kupandisha bei ya maji kuanzia mwezi January mwakani.
                Mhandisi Thomas Mnunguli ambae ni                Kaimu Mwenyekiti wa Baraza la Ushauri la Watumiaji wa                Huduma zinazodhibitiwa na EWURA akitoa maoni ya baraza                hilo juu ya ombi la Mwauasa kutaka kuongeza bei ya huduma                za maji.
        Pamoja na mambo mengine, baraza hilo                liliishauri Mwauasa kudhibiti mianya ya upotevu wa mapato                jambo ambalo litasaidia kutoa huduma bila kupandisha                gharama ya maji.
                Mkurugenzi wa EWURA Kanda ya Ziwa                Mhandisi Nyirabu Musira akitoa mwongozo katika Mkutano wa                Wadau wa Maji uliofanyika jana Jijini Mwanza kati ya                Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji nchini                UWURA, Mamlaka ya Maji safi na MajiTaka Mkoani Mwanza                MWAUASA na Wadau/Watumiaji wa Maji Jijini Mwanza kwa ajili                ya kujadili ombi la MWAUASA kutaka kupandisha bei ya maji                kuanzia mwezi January mwakani.
                katika Mkutano wa Wadau wa Maji                uliofanyika jana Jijini Mwanza kati ya Mamlaka ya Udhibiti                wa Huduma za Nishati na Maji nchini UWURA, Mamlaka ya Maji                safi na MajiTaka Mkoani Mwanza MWAUASA na Wadau/Watumiaji                wa Maji Jijini Mwanza kwa ajili ya kujadili ombi la                MWAUASA kutaka kupandisha bei ya maji kuanzia mwezi                January mwakani.
                Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela                Mkoani Mwanza John Wanga
                Diwani wa Kata ya Nyamagana Jijini                Mwanza Biku Kotecha
                Mwakilishi kutoka Pespi Mwanza
                Mwakilishi kutoka Pepsi Mwanza
                Maoni kutoka kwa wakazi wa Jiji la                Mwanza
                Maoni kutoka kwa wadau wa Maji                Jijini Mwanza
                Hata hivyo baadhi ya wakazi wa Jiji                la Mwanza wamependekeza Mwauasa kutathimini upya juu ya                ongezeko la gharama za huduma ya maji kwa kulinganisha na                mamlaka nyingine nchini ambapo EWURA itaendelea kupokea                maoni ya wadau/watumiaji wa maji kwa muda wa wiki mbili                kabla ya kutoa maamuzi yake hivyo wanatumiaji wa maji                wanashauriwa kupeleka maoni yao katika ofisi za EWURA                Zilizopo jengo la NSSF Ghorofa ya Jijini Mwanza.
        
0 comments:
Post a Comment