May 12, 2014

  • Wema Achafua Hali ya Hewa..Picha aliyoweka ya Rommy Jons Akiwa na Kanzu Club ndio Chanzo



    Ni baada ya kupost picha akiwa na rafiki zake aunt Ezekiel na Rommy Jons club huku Rommy Jons akiwa amevaa vazi la kanzu ambalo wengi waliotoa maoni yao kua hilo vazi (kanzu) si mahali pake hapo na analinajisi ;

    JE WEWE UNASEMAJE ? TIZAMA PICHA NA MAONI YA WATU ;


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.