Bajeti
ya Wizara ya Ardhi na Makaazi iko katika ati ati ya kupitishwa na
bungeni leo hii. CCM baada ya kupima upepo wameita wabunge wao mapema
wakutane baadae ili kuokoa jahazi.
Hotuba
ya waziri prof..Tibaijuka ambayo imekuwa tofauti kabisa na ile ya
kamati ya bunge juu ya wizara hiyo. Hotuba ya kamati imekuwa chungu
mno.Imeibusha uozo mwingi ndani ya wizara.
Aidha,
kama haitoshi hotuba ya waziri kivuli kwa wizara hiyo mh.H.Mdee
imeanika ufisadi mkubwa ndani ya wizara hiyo,hususan kwenye suala la
kigamboni na chasimba mkoani Dar es Salaam.
Pia,wabunge wengi wanaosimama wanasema hawaungi mkono hoja ya waziri. Kwa jumla,prof.Tibaijuka leo maji yamemfika shingoni.
Hata
hivyo,kwa kuwa wabunge watetezi wa ufisadi na wanafiki wameitana basi
wote tunatarajia wataufyata.Mikia yao wataiweka katikati ya miguu kama
mbwa mwoga afanyavyo.
0 comments:
Post a Comment