ENGLAND imetandaza soka safi na kuifumua Peru 3-0 katika mchezo wa kirafiki kujiandaa na fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika Brazil siki chache zijazo.
Mshambuliaji Daniel Sturridge ndiye aliyeanza kufungua mlango kwa bao la dakika ya 32 kabla beki Gary Cahil kupachika la pili kunako dakika ya 65.
Ilikuwa ni kama siku ya mabeki pale beki wa kati Phil Jagielka alipofunga bao la 3 dakika ya 70.
England: Hart, Johnson, Cahill, Jagielka (Smalling 73), Baines (Stones 75), Gerrard (Wilshere 64), Henderson, Lallana (Milner 73), Rooney (Sterling 66), Welbeck, Sturridge (Barkley 82). Subs not used: Foster, Lampard, Lambert, Flanagan, Forster.
Peru: Fernandez, Rodriguez, Callens, Ramos (Riojas 68), Advincula (Velarde 78), Yotun, Cruzado, Ballon, Ramirez (Hurtado 60), Deza (Ruidaz 66), Carrillo (Flores 86). Subs not used: Forsyth, Gambetta, Trauco, Gallese
0 comments:
Post a Comment