Jhikoman                                      aliwasili Finland tarehe 24.4.2014                                      kuanza ziara ya kimuziki katika nchi                                      za Ulaya
                                Nchini Finland                                      katika amefanya maonyesho sita!
                              Kubwa ni lile                                    alilolifanya Helsinki African Film                                    Festival 16.5.2014
                            na pia alifanya onyesho                                  la utangulizi kabla ya mkongwe Peetah                                  Morgan wa Morgan Heritage kupanda
                          jukwaani                                23.5.2014. 10.5.2014 alifanya onyesho                                kwenye uzinduzi wa Helsinki African Film                                Festival!
                         Jhikoman amefanyakazi studio                              na msanii mashuhuri wa Hip hop nchini                              Finland Paleface!
                      Kwa sasa Jhikoman yupo studio akiandaa                            nyimbo aliyo mshirikisha Peetah Morgan.
                      Tarehe 4  june 2014 Jhikoman anategemea                          kutumbuiza Kwenye ukumbi wa Nordic Black Theater                          mjini Oslo nchini
                  Norway. Jhikoman pia anatarajia                        kudhuru miji ya Brussels Ubeligiji, Paris                        Ufaransa, Tübingen                          Germany,
                Stockholm Sweden na Copenhagen Denmark
              
0 comments:
Post a Comment