May 30, 2014

  • Yericko Nyerere akimzungumzia huyu jamaa anayeitwa Singh Sett wa PAP mwenye Passport za kufa Mtu huku akiwa na bonge la Ufisadi SCANDAL


    Suala la Wizi wa fedha Tsh200Bils ni hatari kwa Taifa yapo mambo ya msingi kama ifuatavyo:
    1.Singh Sett wa PAP amesajiliwa Kenya Kama raia wa Afrika Kusini mwenye asili ya Asia
    2.Singh Sett wa PAP amesajiliwa Afrika Kusini Kama raia wa Kenya mwenye asili ya Asia
    3.Singh Sett wa PAP amesajiliwa Tanzania Kama raia wa Tanazani Mzaliwa wa Ruvuma
    4.Singh Sett alishirikiana na Geodion Moi mtoto wa Rais Mio kwa wizi wa US$600million na kuangusha serikali ya KANU
    5.Singh Sett ametajwa kushirikinana Riziwana (Albert Marwa) ndungu wa familia ya JK na kusababisha wizi wa Tshs200Bls
    6.Mwanamke Mbunge wa UK alipambana sana kwenye Bunge la UK wakati wa wizi wa fedha za Rada ulifanyika na BAYE na hatimaye fedha zikarudi Tanzania. Serous Fraud ilikuja hapa na kuwadaka akina Chenge na wizi ule lakini CCM ikawalinda.
    7.Leo UKAWA wapewa document ya ukweli juu ya Wizi wa akina Werema na wametoka nje kushinikiza akina Eliakimu Maswi wakamatwe. Ukweli ni kwamba Benki ya Standard Chater ya UK imetapeliwa zaidi ya Tsh1770bls na Singh Sett na wenzake. Serious Fraut wapo hapa na kila kitu kinafahamika
    8.Kumufukuza balozi wa UK ni sawa na kumufukuza nzi badala ya kuondoa Kinyesi.
    CCM na watawala wachague Kuwatetea Watuhumiwa kwa malengo ya kuangusha serikali nzima au kuwashughurikia watuhumiwa na kuokoa serikali
  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.