May 29, 2014

  • BALOZI MDOGO MISRI NCHINI AMUAAGA RAIS DKT. SHEIN WA ZANZIBAR



    BALOZI MDOGO MISRI NCHINI AMUAAGA RAIS DKT. SHEIN WA ZANZIBAR
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Mdogo wa Misri anayefanyia kazi Zanzibar Mhe, Walid Mohamed Ismail, aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar leo kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi Mdogo wa Misri anayefanyia kazi Zanzibar Mhe, Walid Mohamed Ismail, aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar leo kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akifuatana na Balozi Mdogo wa Misri anayefanyia kazi Zanzibar Mhe, Walid Mohamed Ismail, aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar leo kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.Picha na Ramadhan Othman Ikulu.


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.