May 27, 2014

  • Dkt.Shein azungumza na Wahadhiri Chuo Kikuu Cairo

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein (kulia)akizungumza na Ujumbe wa Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Cairo,unaoongozwa na Prof. Ibrahim Elsayed Gaber, (wa pili kulia) ujumbe huo ulifika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi.
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein (kulia)akizungumza na Ujumbe wa Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Cairo, ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi,(kushoto) Mshauri wa Rais mambo ya Nje ya nchi Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa.
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akiagana na Prof.Ibrahim Elsayed Gaber,Kiongozi wa Ujumbe wa Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Cairo,ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,baada ya mazungumzo .[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.