May 27, 2014

  • KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE AKUTANA NA RAIS WA AFRICARE LEO


    KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE AKUTANA NA RAIS WA AFRICARE LEO
    Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akimlaki Rais wa Taasisi ya Africare, Dkt Darius Mans, alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 27, 2014. Kushoto Mama Sekai P. Chikowero, Mkurugenzi Mwandamizi wa nchi za Tanzania, Rwanda na Uganda wa Africare ambayo ni taasisi kubwa ya maendelo kwa Afrika inayoendeshwa na Wamarekani wenye asili ya watu weusi. Bw. Mans yuko nchini kwa ziara ya kikazi ya siku nne.
    Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiwa katika mazungumzo na Rais wa Taasisi ya Africare, Dkt Darius Mans, alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 27, 2014. Kulia ni Mama Sekai P. Chikowero, Mkurugenzi Mwandamizi wa nchi za Tanzania, Rwanda na Uganda wa Africare ambayo ni taasisi kubwa ya maendelo kwa Afrika inayoendeshwa na Wamarekani wenye asili ya watu weusi. Bw. Mans yuko nchini kwa ziara ya kikazi ya siku nne.


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.