STAA wa Bongo Fleva,              marehemu Albert Mangweha 'Ngwea' leo anatarajiwa kufanyiwa              shughuli ya kumbukumbu ya kifo chake. Habari kutoka ndani ya              familia ya Ngwea zinasema kuwa, shughuli hiyo itafanyika leo              Mei 28, nyumbani kwao Morogoro ikiwa ni mwaka mmoja timilifu              tangu afariki dunia.
                Ngwea alifariki dunia Mei              28, mwaka jana katika Hospitali ya St. Hellen jijini              Johannesburg, Afrika Kusini alipokuwa amelazwa kwa matibabu.
        
0 comments:
Post a Comment