May 28, 2014

  • Bajeti ya Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi ya wasilishwa



    Bajeti ya Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi ya wasilishwa
     Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi Prof.Anna Tibaijuka kulia akiwa na naibu Waziri wake wa Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi Mhe.Simbachawene wakati akijianda kuwasilisha Bajeti ya Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi kwa Mwaka 2014/2015 leo .Mjadala wa Bajeti hiyo utaendelea kujadiliwa kesho.
    Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi Mhe. Prof.Anna Tibaijuka  akiwasilisha Bajeti ya Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi kwa Mwaka 2014/2015 leo .Mjadala wa Bajeti hiyo utaendelea kujadiliwa kesho. Picha na Deusdedit Moshi wa Globu ya Jamii


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.