May 27, 2014

  • MAAFISA MAGEREZA KUTOKA NCHI MWANACHAMA WA JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI WATEMBELEA OFISINI KWA KAMISHINA JENERALI WA MAGEREZA





    MAAFISA MAGEREZA KUTOKA NCHI MWANACHAMA WA JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI WATEMBELEA OFISINI KWA KAMISHINA JENERALI WA MAGEREZA
    Maafisa Magereza au Taasisi zinazohusika na masuala ya urekebishaji kutoka Nchi Mwanachama wa Jumuia ya Afrika Mashariki,jana tarehe 26 Mei,2014 walitembelea ofisini kwa Kamishna Jenerali wa Magereza Ndg.John.C. Minja.Lengo kuu la ziara hiyo ni kubadilishana uzoefu katika Suala zima la uendeshaji wa Magereza pamoja na kujadiliana masuala ya Ulinzi na Usalama kwa Taasisi hizo. Picha ya Mbele ni Kamishna Jenerali wa Magereza John C Minja,Maafisa Wengine waliko katika sare ni ,wa kwanza kushoto ni Kamishna D. L.Chamulesile na mwingine ni Kamishna Dr.Juma.A.Malewa.Na walio vaa kiraia ni Maafisa Magereza kutoka Nchi Mwanachama wa Jumuia ya Afrika Mashariki kwa maana ya Kenya, Uganda Rwanda na Burundi.


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.