May 30, 2014

  • CHUKUA DAKIKA 5 KUJUA HISTORIA FUPI YA MISS TANZANIA WA KWANZA, ALISHINDA MWAKA 1967.

    huyu ndiye miss tz wa kwanza theresa shayo aliyeshinda mwaka 1967 ufukweni mwa bwawa la kuogelea la hoteli ya kilimanjar. Hayati Theresa, ambaye alitwaa taji hilo mwaka 1967 kwenye shindano lilofanyika hoteli ya Kilimanjaro, alifariki dunia january 26 mwaka 2007 na maradhi ya kansa ya tumbo. Alikuwa na umri wa miaka 61. Mama huyo hakuwahi kupata mtoto na alikuwa akiishi mjini Augsburg ambako alliolewa na mjerumani aitwaye Chrstian Rieger ambaye waliachana. 
  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.