May 27, 2014

  • WAZIRI MKUU MHE. PINDA NA MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA


    WAZIRI MKUU MHE. PINDA NA MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA
    PG4A0674Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifurahia jambo katika mazungumzo kati yake na Mbunge wa Moshi Vijijini, Cyrli Chami kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Mei 27,2014.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

    PG4A0701Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiteta na Mwandishi  wa habari mkongwe, Prince Bagenda kwenye viwanja vya  Bunge mjini Dodoma Mei 27, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
    PG4A0710Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Maswa Mashariki , John Shibuda kwenye viwanja vya  Bunge Mjini Dodoma Mei 27, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

    PG4A0727 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Madiwani na Watendaji wa Halmashauri ya Wilaya  ya Kishapu mkoani Shinyanga kwenye ukumbi wa Spika .Bungeni mjini Dodoma Mei 27, 2014.Walitembelea Bunge kwa mwaliko wa Mbunge wao, Suleiman Nchambi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.