Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum) Profesa Mark Mwandosya na Mkewe
mama Lucy Mwandosya wakitoa heshima kwenye kaburi la Louis Rwagasore
aliyekuwa Waziri Mkuu wa kwanza wa Burundi aliyeuawa Oktoba 1961
Waziri
Mwandosya akutana na maafisa kutoka kiwanda cha saruji cha Mbeya Cement
na mawakala wa Mbeya Cement Burundi.Waziri Mwandosya aliwapongeza Mbeya
Cement kwa kuwa wauzaji wakubwa wa saruji Burundi.Aliwahimiza kuongeza
juhudi kupanua soko Mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Kutoka
kushoto ni Ephraim Kalinga,Meneja wa Mauzo ya nje Mbeya Cement,Waziri
Mwandosya,Emil Sindato ,Meneja Ufundi Mbeya Cement, Debrah
Hernandez,mwakilishi wa wakala,na Eric Aneca,mwalikilishi wa wakaala wa
Mbeya Cement.
0 comments:
Post a Comment