May 27, 2014

  • NSSF YASHIRIKI MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA-TANGA



    NSSF YASHIRIKI MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA-TANGA
     Muuguzi, Elionora Mmasi akiwapima wanachama wa NSFF waliotembelea banda lao wakati wa maonesho ya pili ya kibiashara yanayofanyika mkoani Tanga.
    Baadhi ya watu waliofika katika banda la NSSF wakipata maelezo kutoka kwa maofisa wa Shirika hilo kuhusu Fao la Matibabu wakati wa maonesho ya pili wa kibiashara yanayofanyika mkoani Tanga.


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.