MMILIKI
 wa timu ya Manchester United, Malcolm Glazer, amefariki dunia akiwa na 
umri wa miaka 85. Amefariki akiwa nyumbani kwake Marekani.
Glazer
 aliinunua klabu hiyo mwaka 2005 kwa pauni milioni 790 sawa na shilingi 
trioni 2.2 na akashuhudia timu hiyo ikipata mafanikio kadhaa ikiwemo 
kutwaa Kombe la Klabu Bingwa Ulaya na ya Ligi Kuu ya England.
Malcolm Glazer aliyefariki akiwa na miaka 85.
0 comments:
Post a Comment