May 18, 2014

  • KIKUNDI CHA UPENDO WOMEN'S GROUP KILICHOPO BRUSSEL UBELGIJI CHACHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA HOSPITALI YA MWANANYAMALA

     
     
     
     
    Balozi wa Tanzania nchini ubelgiji Dr. Diodorus Kamala akisoma hotuba yake katika ghafla ya uchangishaji wa fedha kwa ajili ya kina mama na watoto waliopo katika wakati mgumu hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam Tanzania,Kushoto kwa balozi ni Balozi wa Kenya nchi Belgium Mh:Johson Uweru na pembeni wa balozi wa Kenya ni mwakilishi kutoka Madagasca mh: Norbet Richard Ibrahim,kulia kwa balozi Dr. Kamala ni balozi wa Burundi Dr.Felix.
    Wana Upendo Group wakiingia ukumbini katika ghafla ya uchangishaji wa fedha za kwa ajili ya hospitali ya Mwananyamala,Dar es Salaam Tanzania iliyofanyika jana nchini humo. (Picha zot na magangaone blog).
  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.