MAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAJI TAKA MJINI MOSHI (MUWSA) YAFANYA TATHMINI YA UTENDAJI KAZI KATIKA SIKU 360 |
Mkurugenzi wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi,MUWSA,Mhandisi Cyprian Luhemeja akizungumza na wafanyakazi wa mamlaka hiyo (hawapo pichani) wakati wa kutimiza siku 360 ofisini. |
|
Baadhi ya wafanyakazi wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi,MUWSA wakimsikiliza Mkurugenzi wa mamlaka hiyo(hayupo pichani) |
|
Meneja Fedha wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi ,Grace Msiru akizungumzia mafanikio na changamoto katika siku 360 kwa idara yake ya fedha. |
|
Baadhi ya wafanyakazi wa MUWSA. |
|
Meneja Biashara wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi ,MUWSA ,John Ndetiko akizungumzia mafanikio na changamoto katika siku 360 kwa idara yake ya Biashara. |
|
Meneja utawala na rasilimali watu wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira Mjini Moshi,Michael Konyaki akizungumzia mafanikio na changamoto katika siku 360 kwa idara yake. |
|
Viongozi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,MUWSA wakisikiliza kwa makini taarifa ya Meneja utawala na rasilimali watu ,Michael Konyaki(Hayuko pichani) |
|
Mwenyekiti wa TUICO tawi la MUWSA Masoud Barrie akizungumza juu ya mkataba wa hali bora kwa wafanyakazi wa mamlaka hiyo . |
|
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na maji taka mjini Moshi,Mhandisi Cyprian Luhemeja akigawa fomu za Bima ya Afya kwa wafanyakazi wa Mamlaka hiyo. |
|
Mkaguzi wa ndani wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira Mjini Moshi ,Benson Maro akizungumza katika kikao cha wafanyakazi wa Mamlaka hiyo baada ya kumaliza mwaka. |
|
Mmoja wa wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi,Musa Shah akitoa neno la shukrani baada ya kikao cha tathmini kwa wafanyakazi wa Mamlaka hiyo |
Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii kanda ya kaskazini.
0 comments:
Post a Comment