Mkurugenzi wa Benchmark Production, Rita Paulsen aka MADAM RITA ambaye ni moja ya wadau wakubwa kwenye muziki huu wa kizazi kipya...amejitokeza na kuwomba watanzania wampigia kura msanii Diamond kwenye tuzo za MTV...
Lets vote for Diamond jamani..nenda kwenye computer yako...bonyeza www.mama.mtv.com and vote for diamond and let him win the award men.....tupendaneby Madam Rita
ASANTE SANA MADAM KWAKUMPIGANIA KIJANA WETU ACHUKUE MZIGO, PROUDLY TZ
0 comments:
Post a Comment