May 23, 2014

  • Malema na wabunge wezake EFF wakataa kuvaa suti wakati wakiapishwa

    Kijana ninayemkubali sana kutoka South Afrika pia mwenyekiti wa chama alichokianzisha,EFF akiongozana na wabunge wake,wamekataa kuvaa suti wakidai ni dalili za uvivu na kujikweza. Tujadili

  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.