WATOTO WA MBWA au PANYA ROAD,wanaendesha vitendo vya uhalifu Dar tena mchana kweupe wakiwa na mapanga na visu.
Leo asubuhi Kariakoo,Jangwani ,Kigogo na Karume,watu wamejeruhiwa na kuporwa,mbaya zaidi nasikia juzi na jana wameua watu wawili kwa staili hii kigogo,
Jana usiku watu walilazimika kukimbia hovyo maeneo ya Mabibo hali iliyosababisha maduka na baa kufungwa mapema kwa kuhofia vijana hawa ambao wengi wao ni below 15 years na hutembea katika kundi la vijana takribani 50-60
Nataka kuuliza hivi serikali haisikii na KIKUNDI KIKUBWA CHA WATU WANAOKADILIWA 25 CHENYE SILAHA KUTOKA JANGWANI NJIA PANDA MABIBO MPAKA KARUME WANAPORA NA KUJERUHI WATU
BILA UOGA HAWAKAMATWI?
BILA UOGA HAWAKAMATWI?
0 comments:
Post a Comment