Akipiga stori na mwandishi wetu, Snura alifunguka kwamba tofauti na wanaume wote aliowahi kuwa nao, DJ Hunter wanapendana kwa dhati na anaamini ndiyo chaguo sahihi kwake. "Sijawahi kuwa na mpenzi nikamtambulisha kwenye media bila kuwa nimempenda kwa dhati, tunapendana sana na Hunter, hatuwezi kuachana kwa mipango ya binadamu," alisema Snura.
0 comments:
Post a Comment