May 12, 2014

  • SNURA AFUNGUKA KUHUSU DIAMOND

     
     
     
    MSANII wa muziki na filamu Bongo, Snura Mushi amefunguka kwamba tuzo saba za Kilimanjaro alizopata msanii mwenzake, Nasibu Abdul alistahili kuzipata kwani anajituma.
    Msanii wa muziki na filamu Bongo, Snura Mushi, 'Mama Majanga'.
    Akichonga na gazeti hili, Snura alisema Diamond ni mwanamuziki anayejituma sana pia ni mbunifu na juhudi zake ndizo zimemfanya ashinde tuzo zote hizo.
    Mkali wa Bongo fleva, Nasibu Abdul, 'Diamond Platinumz'.
    "Mimi nilikuwa kwenye kipengele cha msanii chipukizi lakini haikuwa bahati yangu, naamini wakati wangu ukifika nitapata tuzo sina haraka ila kwa shemeji Diamond alistahili kupata," alisema Snura.
    GPL
  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.