May 17, 2014

  • Kutana na Meet Cynthia Uwak Mcheza soka mwanamke mwenye muonekano wa kiume wa kisharobaro anawafunika hadi wanaume 100%

     
     
     
     
    Soka ndiyo imemfanya kuwa hivi?.........Mtoto wa kike Full swaga
    Cynthia Uwak ni mshambuliajiwa nigeria anayecheza soka la kulipwa klabu ya wanawake Pk-35 - Vantaa nchini Finland
    Cynthia mwenye umri wamiaka 27 kabla ya hapo alikuwa anakipiga nchini Ufaransa alikuwa katika klabu ya FC Saarbrücken inayoshiriki ligi kuu ya wanawake nchini humo
    Uwak ambaye aliwai kuchukua tuzo ya mchezaji bora kwa upande wa wanawake kwa Afrika mara mbili 2006na 2007
    Cynthia before and after
    The abs on this girl is quite impressive. Guys what do you think?
    Credit.KengeteBlog
  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.