Muigizaji wa filamu nchini, Aunt Ezekiel akimtunza kwa mbwembwe Zawadi Kibiriti
picha na www.burudan.blogspot.com
picha na www.burudan.blogspot.com Muigizaji wa filamu nchini, Aunt Ezekielwa pili kushoto na wapambe wake wakienderea kutunza
picha na www.burudan.blogspot.com
Muigizaji wa filamu nchini, Aunt Ezekiel akimtunza kwa mbwembwe Zawadi Kibiriti picha nawww.burudan.blogspot.com
Muigizaji wa filamu nchini, Aunt Ezekiel akiwa ameshika noti kwa ajili ya kumtunza shoga yake Zawadi Kibiriti wakati wa shughuli iliyofanyika Ilala Dar es salaam leo Ezekiel alifunga mtaa kwa utunzaji wake ambapo ametunza shilingi milioni moja na zaidi wakati wa shughuli hiyo iliyoudhuliwa na wakazi wengi wa jiji la Dar es salaam ususani wakazi wa ilala na vitongoji vyake picha na www.burudan.blogspot.com Muigizaji wa filamu nchini, Aunt Ezekielwa pili kushoto na wapambe wake wakienderea kutunza
Baadhi ya wake wa wanamziki wa bendi ya msondo ngoma wakishudia shughuli hiyo picha nawww.burudan.blogspot.com |
Lucy bandawe nae alikuwepo |
watu waliodhulia
wake wa wasanii wa bendi ya msondo ngoma wakiwa katika picha ya pamoja picha na www.burudan.blogspot.com
lucy bandawe
waalikwa
wake wa wanamuziki wa bendi ya msondo ngoma wakitunza
wake wa wanamuziki wa bendi ya msondo ngoma wakitunza
wake wa wanamuziki wa bendi ya msondo ngoma wakitunza
0 comments:
Post a Comment