Irene Uwoya Ameguswa sana na Kifo cha Adamu Kuambiana na Kuonyesha machungu aliyonayo kupitia Instagram kwa Kupost jinsi anavyojisikia baada ya kifo chake pamoja na kuweka masage walizochat kabla hajafariki hii inaonyesha ni jinsi gani walikuwa karibu
0 comments:
Post a Comment