"#ULIYONIFANYIA #YANATOSHA #PLEASELEAVE ME ALONE..jamani this is the man aliyekua mumewangu nilizaanae mtoto mmoja. .but as Men are yeye ndo muhusika mkuu wa kusambaza picha zangu kwenye mitandao na kuwalipa mabloger,pia kufungua fake acc fb. sijui anachotaka but without thinking mi ni mama wa mtoto wake. warning ladies dont trust man too much as it might happen to you one day.. jina lake ni #Emmanuelakarosinare. if you read this naomba uache kunichafua kumbuka mi nna ndugu na nina mtoto na ndugu zangu wanaumia sana hasa baba yangu. kupitia hapa nakuomba uniache huru uliyoyafanya yanatosha.... naandika kwa uchungu with tears.. Set me free please." Says Jessica
My Take:
Kama kweli huyo mume wake ndio anafanya hivyo basi hayupo vizuri kichwani kwani Jessica ni Mama wa Mtoto wake ambae walizaa nae, Sijui sababu za yeye kusambaza hizo picha za utupu ila ki ukweli huo si uanaume kabisa bali ni kukosa Sera na kuonesha udhaifu mbele ya Mwanamke.
0 comments:
Post a Comment