May 20, 2014

  • CHEKSHIA PICHA ZA SEMINA YA NDOVU SANAA NI KAZI.



    Msanii wa nyimbo za kizazi kipya , maarufu kwa jina la C. Pwaa(kulia) akichangia maada wakati wa Semina ya Ndovu Sanaa ni kazi iliyoandaliwa maalumu kwa kuelimisha wasanii kutambua haki zao na wapi wanaweza kwenda wanapohitaji haki hizo iliyodhaminiwa na TBL kupitia bia ya Ndovu special mail mwishoni mwa wiki.Kushoto waliokaa ni waongoza maada katika semina hiyo.
    Msanii Mkongwe wa muziki, Mzee Dully Sacks akichangia maada wakati wa Semina ya Ndovu Sanaa ni kazi iliyoandaliwa maalumu kwa kuelimisha wasanii kutambua haki zao na wapi wanaweza kwenda wanapohitaji haki hizo iliyodhaminiwa na TBL kupitia bia ya Ndovu special mail mwishoni mwa wiki.Kushoto waliokaa ni waongoza maada katika semina hiyo.
    Msanii Mkongwe wa muziki, Mzee Dully Sacks na Msanii wa nyimbo za kizazi kipya Quick Racker wakiwa katikapicha ya paoja mara baada  Semina ya Ndovu Sanaa ni kazi iliyoandaliwa maalumu kwa kuelimisha wasanii kutambua haki zao na wapi wanaweza kwenda wanapohitaji haki hizo iliyodhaminiwa na TBL kupitia bia ya Ndovu special mail mwishoni mwa wiki.Kushoto waliokaa ni waongoza maada katika semina hiyo.
    Meneja wa bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli akifuatilia maada wakati Semina ya Ndovu Sanaa ni kazi iliyoandaliwa maalumu kwa kuelimisha wasanii kutambua haki zao na wapi wanaweza kwenda wanapohitaji haki hizo iliyodhaminiwa na TBL kupitia bia ya Ndovu special mail mwishoni mwa wiki.Kushoto waliokaa ni waongoza maada katika semina hiyo.
    Msanii Fid Q, akichangia maada wakati Semina ya Ndovu Sanaa ni kazi iliyoandaliwa maalumu kwa kuelimisha wasanii kutambua haki zao na wapi wanaweza kwenda wanapohitaji haki hizo iliyodhaminiwa na TBL kupitia bia ya Ndovu special mail mwishoni mwa wiki.Kushoto waliokaa ni waongoza maada katika semina hiyo.

    Msanii Mad Ice, akichangia maada wakati Semina ya Ndovu Sanaa ni kazi iliyoandaliwa maalumu kwa kuelimisha wasanii kutambua haki zao na wapi wanaweza kwenda wanapohitaji haki hizo iliyodhaminiwa na TBL kupitia bia ya Ndovu special mail mwishoni mwa wiki.Kushoto waliokaa ni waongoza maada katika semina hiyo.
  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.