June 17, 2014

  • Maandalizi Mkutano Mkuu CUF yapamba moto


    Maandalizi Mkutano Mkuu CUF yapamba moto
    Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na baadhi ya viongozi wa CUF, alipofika Blue Pearl Hotel kwa ajili ya kukagua ukumbi kwa ajili ya mkutano mkuu wa CUF utakaoanza tarehe 23/06/2014.
    Huu ndio ukumbi wetu wa mikutano Mzee, Afisa wa Hoteli ya Blue Pearl, Ubungo Plaza akimuonesha ukumbi huo Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad alipokwenda kuutembelea.
    Jengo la Hoteli ya Blue Pearl, Ubungo Plaza litakalotumika kwa ajili ya Mkutano Mkuu wa CUF kuanzia tarehe 23/06/2014.


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.