May 24, 2014

  • WABUNGE WA BUNGE LA EA TOKA TANZANIA WAFUATILIA BAJETI YA WIZARA YAO BUNGENI DODOMA



    WABUNGE WA BUNGE LA EA TOKA TANZANIA WAFUATILIA BAJETI YA WIZARA YAO BUNGENI DODOMA
     
    Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta  akisoma Bungeni hotuba ya Bajeti ya Wizara yake kwa mwaka 2014/2015. Bajeti hiyo ilijadiliwa na kupitishwa na Bunge. Bajeti hiyo pia ilisikilizwa na Wabunge wa Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki waliokuwepo Bungeni siku hiyo. 
    Mbunge Shy-Rose Bhanji (kushoto) akiwa na wabunge wa Bunge la Muungano Mhe James Mbatia na Mhe Beatrice Shelukindo.
    Wabunge wakiwa viwanja vya Bunge...
    Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Mhe. Angellah Kairuki akiteta jambo na Mhe Shy-Rose Bhanji
    Picha ya pamoja na baadhi ya Wabunge na mawaziri wa Bunge la Muungano. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA



  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.