May 24, 2014

  • MABASI YA UDA YANAENDESHWA BILA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI



    MABASI YA UDA YANAENDESHWA BILA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI
    Miaka ya nyuma ilikuwa Tajiri mwenye Basi akitaka kuajiri Dereva Swali la Msingi iliuweze kuajiariwa alikuwa anauliza kama Umewahi kuendesha wapi na wapi Ukitaja UDA kazi unapata haraka sana Tofauti na sasahivi madereva wa uda wamekuwa hawana sifa kwani tunashudia wanavyo endesha hovyo magari hayo Barabarani na hawaheshimu kabisa taratibu za uendeshaji.Ni jana usiku tu tumeona moja ya gari hilo likiwa mtaroni kutokana na uzembe wa madereva hao,sasa na asubuhi ya leo tunaona basi lingine likiwa na tatizo hilo hilo huku wahusika wakiingia mitini.Je kuna nini kinaendelea nyuma ya pazia???.Picha na Mdau Chriss Mfinanga.


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.