October 13, 2014

  • AJALI TENA : MAMA ANUSURIKA KIFO




    AJALI TENA : MAMA ANUSURIKA KIFO
    Sehemu ya gari ilipogongwa.
    Pembeni ni uzio wa magari uliowekwa na kamapuni ya Strabag.

    Umati wa watu wakiwa eneo la ajali
    MAMA mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja, amenusurika kifo baada ya gari lake aina ya Toyota Cresta, kukogwa na gari kubwa maeneo ya Ubungo, jijini Dar es Salaam.
    Tukio hilo lilitokea jana, wakati mama huyo akiwa anatokea maeneo ya River Side na kukata kona ya kuelekea Mbezi Kimara, ndipo gari kubwa likamkwangua sehemu ya taa ya nyuma, haikufahamika haraka nani alikuwa na makosa.


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.