Mapenzi kweli
yanazidi kuikimbiza dunia, huyu dada umwonaye hapa juu ni mwanafunzi wa chuo
kikuu fulani(jina limefichwa). Dada huyu alishikwa
na butwaa kwa kitendo alichofanyiwa na rafiki yake.Rafiki yake anayeishi naye
chumba kimoja hostel amezitupia picha za huyu dada mtandaoni kufuatia madai
kwamba huyu dada amemwibia mpenzi wake.(Shiti..!) hebu oneni madai ya kijinga ya
hawa wanafunzi tena wasomi wa chuo kikuu. Taarifa tulizo nazo
ni kwamba picha hizi zilitupiwa mtandaoni mara tu ya rafiki yake kupata taarifa
kwamba anaibiwa mpenzi wake na huyo dada hapo juu Tunalaani vikali
vitendo hivi!! BOFYA >>HAPA<<
0 comments:
Post a Comment