May 22, 2014

  • Shilingi elfu 10 imesababisha huyu mtoto akatwe hivi visu.

     
    Screen Shot 2014-05-21 at 4.29.00 PM
    Hii inaingia kwenye maktaba ya matukio ya kusikitisha kwenye idara ya  Hekaheka na leo ni kuhusu dada aliyeamua kumkata mikono kwa kisu mtoto wa ndugu yake kisa kikiwa ni shilingi elfu 10 ambayo anadai aliibiwa na mtoto huyo ambaye ni mwanafunzi wa darasa la saba.

    Screen Shot 2014-05-21 at 4.28.38 PMScreen Shot 2014-05-21 at 4.28.48 PM
    Kwenye hii hekaheka utamsikia mtoto mwenyewe na mwalimu aliyempokea.
  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.