Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akibadilishana
zawadi na Waziri wa Biashara, Uchumi na Viwanda wa Japan, Toshimitsu Motegi,
baada ya mazungumzo yaliyofanyika ofisini kwa Waziri huyo akiwa katika ziara
yake nchini Japan, leo Mei 20, 2014.
Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika
mazungumzo na Waziri wa Biashara, Uchumi na Viwanda wa Japan, Toshimitsu Motegi,
(wa kwanza kulia) wakati alipofika ofisini kwa Waziri huyo kwa mazungumzo akiwa
katika ziara yake nchini Japan, leo Mei 20, 2014. Kushoto ni Balozi wa Tanzania
nchini Japan, Salome Sijaona.
Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akibadilishana
zawadi na Mwenyekiti wa Kampuni ya JETRO, Hiroyuki Ishige, baada ya mazungumzo
yao wakati Makamu Dkt Bilal, akiwa katika ziara yake nchini Japan,
leo.
Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika
mazungumzo na Mwenyekiti wa Kampuni ya JETRO, Hiroyuki Ishige, wakati
walipokutana na kwa mazungumzo akiwa katika ziara yake nchini Japan,
leo.
Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika
mazungumzo na Rais wa JAICA, Akihiko Tanaka, yaliyofanyika wakati walipokutana
kwa mazungumzo akiwa katika ziara yake nchini Japan,
leo.
Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika
mazungumzo na Rais wa JAICA, Akihiko Tanaka, yaliyofanyika wakati walipokutana
kwa mazungumzo akiwa katika ziara yake nchini Japan, leo Mei 20, 2014. Kulia ni
Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe (wa pili kulia) ni Balozi wa
Tanzania nchini Japan, Salome Sijaona.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na Rais wa JAICA, Akihiko Tanaka,
yaliyofanyika wakati walipokutana kwa mazungumzo akiwa katika ziara yake nchini
Japan, leo.Picha na Ofisi ya Makamu wa
Rais
0 comments:
Post a Comment