May 16, 2014

  • Mtangazaji wa TV Apigwa Busu Adimu Kutoka kwa Wema Sepetu...Hakulala Siku hiyo

     
     
     
     

    Wema sepetu pamoja na kua talk of the town kwa kutoka na mkali wa Bongoflava Diamond Platnumz , lakini hachoki kuonesha upendo pia kwa rafiki zake wa karibu. Baada ya kupiga picha huku akimbusu manager wake  Martin Kadinda , sasa ni zamu ya Mtangazaji wa kipindi cha 5 Select ya East Africa TV (Channel 5) , Tonny Albert (tbway360) kupata upendo wa wema
  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.