June 25, 2014

  • NHIF ILIVYONYAKUA KOMBE LA USHINDI WIKI YA UTUMISHI WA UMMA


    NHIF ILIVYONYAKUA KOMBE LA USHINDI WIKI YA UTUMISHI WA UMMA
    1Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akisaini kitabu cha wageni katika banda la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya katika Maonesho ya wiki ya Utumishi wa Umma aliyoyafunga jana.2Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue alitumia fursa hiyo pia kupima afya yake katika banda la upimaji afya la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya.
    3Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa NHIF, Raphael Mwamoto akipokea cheti cha ushindi wa banda bora katika maonesho hayo.4Ofisa Masoko na Elimu kwa Umma, Grace Michael akionesha kombe lililokabidhiwa kwa NHIF na Balozi Ombeni Sefue baada ya kuwa washindi.5Maofisa wa NHIF wakifurahia ushindi6Maofisa wa NHIF wakifurahia ushindi7  Meneja wa NHIF, Mkoa wa Temeke, Ellentruda Mbogoro kushoto, Grace Michael (Katikati) na Meneja Masoko na Elimu kwa Umma, Anjela Mziray wakifurahia ushindi.


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.