May 12, 2014

  • Mipasho ya Mwigulu na Lissu




    Leo Bungeni:Mwigulu Amesema anachofanya Lissu ni jitihada zake za kuwafitinisha Wazanzibari baada ya kushindwa kuwachonganisha Watanzania Bara. Anasema kuwa wakati mwingina anaona aibu kujitambulisha kuwa anatoka Singida kutokana na matendo ya Tundu Lissu. Anasema kuwa Lissu ameongea mambo mengi ambayo hana takwimu wala hakika yake. Anawashangaa Wazanzibari kwa kufurahia hotuba ya Lissu huku wanajua kuwa anafanya jitihada za kuwagombanisha. Anasema kuwa mambo yakiharibika watakaoumia ni Wazanzibari huku Lissu akifurahia kwake Singida.


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.