May 12, 2014

  • Filamu uigize wewe tena waona Aibu, nini ena Nisha?



    Msanii wa sanaa za vichekesho nchini, Salma Jabu aka Nisha amesema huingia na aibu kutazama filamu zake za komedi kutokana na vituko anavyovifanya.

    Nisha anayetamba na filamu kama Pusi na Paku,Tikisa,Gumzo na Zena na Betina amedai anapoangalia filamu zake halafu mtu akamkumbushia hujificha uso wake kwa aibu.


    “Ni ngumu kuamini but huo ndio ukweli, hata mimi nikijitazama huwa naona aibu,ndugu zangu hawaamini yule mtoto mpole anayeng’ata kidole hadi ukubwani,Leo kwenye tv anafanya hayo.. Thanx God ujumbe umefika nimeweza kuwafanya watu waamini mimi mcharuko hahaah,” amesema Nisha.
  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.