Haya maajabu kweli! Huyu mzee alidondoka toka juu baada ya kuchoka kuruka kama ndege.
Mtu mmoja aitwaye Chike ametoa ushahidi kwamba aliona ndege watatu wakipaa angani na baada ya muda wawili wakaanza kupigana kitu kilichopelekea ndegwe mmoja kudondoka na kubadilika kikongwe um wonae hapa juu.Chike anasema mzee huyo aliumia sana baada ya kudondoka kwani mkono wake mmoja wa mbele uligusa waya wa umeme akiwa anadondoka.SOMA ZAIDI>>>>>
0 comments:
Post a Comment