May 12, 2014

  • KWA MUONEKANO YUPI HAPA NI MBUNGE MREMBO KULIKO WOTE KATI YA HAWA???

     
     
     

    Urembo na mvuto kwenye macho ya binadamu huwezi kuvitenganisha. Wakati kule mjengoni Dodoma wakiendelea kupika bajeti ya serikali ya mwaka 2014/15, Over the Weekend tunakuletea Shindano la Nani Mbungwe Mrembo mwenye mvuto 2014?Ukiwa shabiki namba moja wa safu hii unapata nafasi ya kutuma jina au majina ya wabunge wanaostahili kuingia kwenye kinyang'anyiro hiki. Andika jina la mbunge husika kisha tuma kwenda namba 0713 750 910. Kazi ni kwako

  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.